Dira, Dhima na Maadili ya Msingi
DIRA
Kuwa taasisi ya mfano kikanda katika utoaji wa huduma bora za usajili na utoaji wa leseni za biashara.
DHIMA
Kuweka mazingira wezeshi ya biashara nchini kwa kurasimisha biashara na kulinda miliki-ubunifu kupitia usajili, utoaji wa leseni na udhibiti wa mwenendo wa biashara.
MAADILI YA MSINGI
- Utii wa Sheria
- Haki na Usawa
- Uwajibikaji
- Ushirikiano
- Kujali wateja