Ada za Leseni ya Viwanda
Malipo yote yanalipwe kwa Msajili wa Kampuni ambapo watapewa stakabadhi. Waombaji wanaaswa kuepuka kufanya malipo pasi na kupewa stakabadhi za malipo. Matakwa ya malipo yoyote kwa afisa yeyote nje ya malipo yaliyobainishwa, yanapaswa kuripotiwa kwa kupiga simu zifuatazo: 2180113,2181344, 2180141 kwa hatua zaidi.
UFAFANUZI WA ADA KATIKA GHARAMA ZA UWEKEZAJI | KIASI CHA ADA |
Chini ya 5,000,000 | TZS.10,000 /= |
Zaidi ya 5,000,000 lakini si zaidi ya 10,000,000 | TZS.50,000 /= |
Zaidi ya 10,000,000 lakini si zaidi ya 50,000,000 | TZS.100,000 /= |
Zaidi ya 50,000, 000 lakini si zaidi ya 100,000,000 | TZS.500,000 /= |
Zaidi ya 100,000,000 | TZS.800,000 /= |