Ada za Alama za Biashara na Huduma
Malipo yote yanalipwe kwa Msajili wa Kampuni ambapo watapewa stakabadhi. Waombaji wanaaswa kuepuka kufanya malipo pasi na kupewa stakabadhi za malipo. Matakwa ya malipo yoyote kwa afisa yeyote nje ya malipo yaliyobainishwa, yanapaswa kuripotiwa kwa kupiga simu zifuatazo: 2180113,2181344, 2180141 kwa hatua zaidi.
1. Maombi kwa Msajili kwa ajili ya ulinzi wa TM/SM Hakuna Ada |
2. Uteuzi wa mwakilishi (hati inayotoa mamlaka) sheria ndogo na. 11 Hakuna Ada |
3. Uoneshaji wa ziada wa nembo ya kibiashara inayoambatana na kila fomu ya maombi Hakuna Ada. |
4. Kumwomba Msajili kueleza sababu za uamuzi unaohusiana na maombi kuhusu kusajili alama na vitu vilivyotumika. SHT 50,000 /= |
5. Kutoa notisi ya pingamizi kwa Msajili chini ya kifungu na. 27 kwa kila maombi yanayopingwa na mwekaji wa pingamizi. Pendekezo mwafaka ni kuepuka changamoto za chenji TSHS 60,000 /= |
6. Kutoa kauli inayojibu Notisi ya pingamizi chini ya kifungu na. 27, kwa kila mwombaji anayewekewa pingamizi, na mwombaji au kujibu notisi ya pingamizi chini ya kifungu na. 29, 3 SHT 50,000/= |
7. Kusikiliza kila pingamizi, lililowekwa na mwombaji, na muwekaji wa pingamizi mtawalia au kusikiliza maombi yaliyoombwa chini ya vifungu na. 29, 30, 35 na 36 yaliyotumwa na mwombaji na mmiliki mtawalia. SHT. 70,000 /= |
8. Usajili mmoja wa alama kwa ajili ya maelezo ya bidhaa katika daraja moja. SHT. 60,000 /= |
9. Usajili wa mfululizo wa alama chini ya kifungu na. 24(2) kwa ajili ya maelezo ya bidhaa na huduma zilizojumuishwa katika daraja moja. Kwa alama ya kwanza. SHT. 60,000 /= |
10. Kwa kila alama inayofuata. SHT 30,000 /= |
11. Kuhuisha usajili wa alama baada ya muda wake wa usajili kuisha. SHT 30,000 /= |
12. Kuhuisha usajili wa mfululizo wa alama chini ya kifungu 24(2) baada ya muda wake wa usajili kwisha. Kwa alama ya kwanza. SHT 30,000 /= |
13. Kwa kila alama nyingine katika zinazofuata. SHT. 10,000 /= |
14. Ada ya ziada chini ya Sheria ndogo na. 54. SHT. 30,000 /= |
15. Kurejesha ada chini ya hii Sheria ndogo. SHT. 30,000 /= |
16. Maombi ya kusajili mmiliki anayefuata katika muktadha wa kutoa au kubadilisha alama moja. SHT. 50,000 /= |
17. Kubadili ingizo moja au zaidi ya alama ya biashara ya mmiliki aliyesajiliwa au mtumiaji aliyesajiliwa ambapo anwani ni ileile na inabadilishwa kwa namna ileile SHT. 50,000 /= |
18. Kwa ingizo lingine lolote. SHT 10,000 /= |
19. Maombi ya kubadili anwani ya biashara katika usajili wa Alama SHT. 20,000 /= |
20. Maombi ya kuvunja ushirika baina ya washirika wenye alama zilizosajiliwa. SHT 50,000 /= |
21. Maombi, kama hayajabadiliswa, ya kurekebisha makosa ya kiukarani au kwa ajili ya idhini ya kubadili maombi. SHT. 15,000 /= |
22. Maombi ya kubadili jina au ufafanuzi wa mmiliki au mtumiaji aliyesajiliwa mwenye alama moja ambapo hakuna mabadiliko ya umiliki au utambulisho wa mmiliki. SHT 20,000 /= |
23. Maombi ya kubadili jiina au ufafanuzi wa mmiliki au mtumiaji aliyesajiliwa mwenye zaidi ya alama moja, mwenye jina lilelile, ambapo hakuna mabadiliko ya umiliki au katika xxxx. SHT. 20,000 /= |
24. Na kwa kila alama inayofuata. SHT. 10,000 /= |
25. Kusitisha ingizo au sehemu ya ingizo la alama katika rejesta ya maombi ya maombi ya mmiliki aliyesajiliwa wa alama. SHT. 30,000 /= |
26 Maombi ya mmiliki aliyesajiliwa ya kuondoa bidhaa kutoka katika bidhaa zenye alama iliyosajiliwa. SHT 20,000 /= |
27. Maombi ya ingizo la kanusho au memorandum katika rejesta kutoka kwa mmiliki aliyesajiliwa. SHT. 10,000 /= |
28. Maombi ya likizo kwa Msajili ya kuongeza au kubadili alama moja iliyosajiliwa. SHT. 15,000 /= |
29. Maombi ya likizo kwa Msajili ya kuongeza au kubadili zaidi ya alama moja iliyosajiliwa ya mmiliki mmoja, kuwa alama zinazofanana, mabadiliko ya ziada kwa kila mojawapo, kuwa ileile. TSHS 15,000 /= |
30 Na kwa kila alama nyingine. SHT 10,000 /= |
31. Maombi ya kufanya marekebisho au kundoa alama kutoka katika rejesta chini ya kifungu chochote kati ya 29, 30, 35 na 36. SHT. 30,000 /= |
32. Maombi ya likizo kwa ajili ya kuingilia mwenendo wa kesi chini ya kifungu chochote kati ya vifungu vya 29, 30, 35 na 36 kwa ajili ya kurekebisha Rejesta au kuondoa alama katika alama. SHT 30,000 /= |
33. Utafutaji wowote chini ya Sheria ndogo ya 95. SHT 10,000 /= |
34. Ili kupata cheti cha Msajili (mbali na cheti kinachotolewa chini ya kifungu cha 22(2) cha usajili wa alama. SHT 30,000 /= |
35. Ili kupata cheti cha Msajili (mbali na kile kinachotolewa chini ya kifungu cha 22(2) cha usajili wa mfululizo wa alama chini ya kifungu cha 24(2). SHT 30,000 /= |
36. Kufuta au kuweka ingizo moja au zaidi la anwani kwa ajili ya mmiliki aliyesajiliwa au mtumiaji wa alama (isipokuwa pale ambapo mabadiliko yanatolewa kwa agizo la a lo SHT 10,000 /= |
37. Na kwa kila ingizo lingine. SHT. 50,000 /= |
38. Kutoa notisi ya pingamizi la maombi ya likizo kwa ajili ya kuongeza au kubadili alama zilizosajiliwa, kwa kila maombi yaliyopingwa. SHT. 30,000 /= |
39. Kwa kila ingizo la kurekebisha au kufanya mabadiliko yake katika rejesta ambayo hayajabadilishwa. SHT. 30,000 /= |
40. Ili kufanya ingizo la kurekebisha katika rejesta yaliyotajwa au kufanya mabadiliko yaliyomo ambayo hayajafanyiwa mabadiliko. SHT. 30,000 /= |
41. Maombi ya kuingiza katika rejesta na kutangaza cheti cha uhalali chini ya kifungu cha 51 na Sheria ndogo ya 73. Kwa usajili wa kwanza uliopewa ithibati. TSHS 30,000 /= |
42. Na kwa kila usajili mwingine uliopewa ithibati katika cheti kilekile. SHT. 10,000 /= |
43. Maombi ya kumsajili mtumiaji yuleyule aliyesajiliwa wa zaidi ya alama moja zilizosajiliwa ya mmiliki yuleyule aliyesajiliwa wa bidhaa na huduma kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa. SHT 60,000 /= |
44 Na kwa kila alama nyingine ya mmiliki iliyojumuishwa katika maombi na tamko lakesi... SHT 20,000 /= |
45. Maombi kutoka kwa mmiliki wa zaidi ya alama moja, chini ya aya (a) kifungu cha 46(q) ya kurekebisha ingizo la mtumiaji wake aliyesajiliwa, Kwa alama ya kwanza... SHT 30,000 /= |
46. Na kwa kila alama nyingine ya mmliki kwa mtumiaji yuleyule aliyesajiliwa, inayojumuishwa katika maombi. SHT. 50,000 /= |
47. Maombi ya mmiliki wa alama au ya mtumiaji aliyesajiliwa kwa ajili ya kufuta ingizo la mtumiaji aliyesajiliwa. SHT. 6,000 /= |
48. Maombi ya kufuta ingizo la mtumiaji wa alama aliyesajiliwa chini ya kifungu cha 46(c) ana Sheria ndogo ya 80. SHT. 6,000 /= |
49. Kutoa notisi chini ya kifungu cha 46 Sheria ndogo ya 81 ya kusudio la kuingilia mojawapo ya mwenendo wa kesi kwa ajili ya urekebishaji au ufutaji wa maingizo ya watumiaji wa alama waliosajiliwa. SHT. 12,000 /= |
50. Kufanya uchunguzi wa rejesta. SHT. 5,000 /= |
51. Kufanya uchunguzi wa rejesta. SHT. 5,000 /= |
52. Kupata idhini ya kutafuta alama miongoni mwa alama zilizowekwa katika madaraja, kwa kila daraja. SHT 5,000 /= |
53. Kwa nakala za nyaraka zisizoidhinishwa katika kila ukurasa au sehemu ya ukurasa. SHT 5,000/= |
54. Kutoa ithibati katika nyaraka au sehemu ya nyaraka. SHT. 5,000 /= |
55. Kutoa kivuli cha cheti cha Usajili. SHT 10,000 /= |
56. Kutangaza maombi yoyote katika Gazeti. SHT 15,000 /= |
57. Ada ya utunzaji wa mafaili. SHT 5,000 /= |