Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni

Tunaipa Uhai wa Kisheria Biashara yako

Vigezo na Masharti

Kabla ya kusajili au kupata huduma kwenye Mfumo wausajiri hakikisha umetimiza masharti yafuatayo

1.Kufungua akaunti kwenye Mfumo lazima kuwa na kitambulisho cha Utaifa kutoka NIDA

2.Kama ni Mbia kwenye kampuni lazima uwe na kitambulisho cha utaifa kutoka NIDA

3.Kama ni Mkurugenzi wa kampuni ni lazima uwe na kitambulisho cha Utaifa kutoka NIDA na namba ya mlipa kodi TIN kutoka TRA

KUMBUKA: Wasio Watanzania wanatakiwa kuwa na namba ya Hati ya kusafiria (passport) ya nchi husika