Mhe. Dkt. Abdallah S. Possi, Balozi na Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na
Mashirika ya Kimataifa akisaini Mkataba wa Kimataifa kuhusu Miliki Ubunifu, Rasilimali za Kijenetiki na
Maarifa ya Jadi. Wanaoshuhudia hafla hiyo ni Bw. Godfrey Nyaisa, Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw.
Twalib Njohole, Msajili wa Hakimiliki za Wagunduzi wa Aina Mpya za Mbegu za Mimea kutoka Wizara ya
Kilimo, Bi. Loy Mhando, Mkugenzi wa Miliki Ubunifu kutoka BRELA na Bi. Zulekha Fundi, Afisa Mambo ya
Nje kutoka Ubalozi wa Tanzania, Geneva.